TanzaniaClosedNeST OCDSgoodsNot disclosed

Supply of school related furniture (for classroom, laboratory, dormitory, library or dining hall)

NeST-EM.1262/2025/2026/G/04-S001 · MABILIONI PRIMARY SCHOOL

Deadline: 15 Jun 2026Bid opening: Bid security: 2%Validity: 90d + 30d eval

Dawati-litengenezwe dawati la mwanafunzi kwa kutumia mbao ngumu na kumaliziwa vema kwa msasa na kupakwa varnish mara tatu lenye urefu wa 1200mm na lisilozidi kimo Cha 740mm ambalo Lina fremu ya mbao ngumu kwenye reli mlalo za chini zenye kipimo Cha 50mm x75mm .liwe na frem za wima za kushikilia mbao za chuma chenye squire pipe yenye kipimo Cha 25mmx25mm itakayomaliziwa kwa kupaka kuzuia kutu (red oxide na rangi ya mafuta ya mwisho pande zote mbili .kitako kiwe na unene wa 20mm na kipimo Cha 225mm x1200mm ikiwa imemaliziwa vema kwa msasa na varnish itakayowekwa kimo Cha 410mm kutoka reli ya chini. topu ya juu iwe na kipimo Cha 325mmx1200mm ikiwa na reli ya katikati yenye kipimo Cha 20mm x325mm x1200mm pamoja na kizuizi Cha mbele chenye unene wa 20mm urefu wa 1200mm na kipimo Cha 250mm kilichomaliziwa kwa maelezo sawa ukiwa ni pamoja na viungo vyote muhimu kama inavyoonekana kwenye ramani — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)

View SBD documents →

This tender is no longer accepting bids.

Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.