TanzaniaClosedNeST OCDSgoodsNot disclosed

Supply of building materials for foundation, sub and superstructure

NeST-EM.14848/2025/2026/G/01-S004 · NYAMRANDIRIRA PRIMARY SCHOOL

Deadline: 1 Jun 2026Bid opening: Bid security: 2%Validity: 90d + 30d eval

TUNAHITAJI MZABUNI ATAKAYE SAMBAZA VIVYAA VYA UJENZI WA VYOO MATUNDU 6 YA CHOO CHA WANAFUNZI KE 3 NA ME 3 ,UJENZI HUU UTAFANYIKA SM NYAMRANDIRIRA ILIYOKO KATIKA KIJIJI CHA SEKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA DC.TUNAHITAJI VIFAA HIVYO VIFIKE SITE MARA MOJA BAADA YA KUJAZA MKATABA WAKO KIKAMILIFU.FIKISHA. SITE VIFAA VYA HARDWARE KULINGANA NA ORODHA NA BAGDETI ULIYOPEWA KATIKA TANGAZO HILI.UNATAKUWA KUJAZA NYARAKA ZOTE KWA USAHIHI NA KUFIKISHA VIFAA SITE VIKIWA KAMILI KWA IDADI,UBORA ULIOKUSUDIWA,KWA MUDA MWAFAKA.UJENZI HUU UTAFANYIKA KWA MUDA USIOZIDI SIKU 30 TU.FIKISHA SITE ORODHA YA VIFAA VIFUATAVYO; ordinary Portland cement 50kgs (42.5N) - 176Pcs, Rainforcement - 12mm diameter high tensile- 43pcs , Rainforcement - 8mm diameter - 24 PCs, A252Mesh 200x200x6. 16kg - 1 PC, Nails 5" - 4kgs, Nails 4"- 13kgs, Nails 3"- 12kgs, Kench wire for fixing trusess- 4 kgs, DPM - 30M², 28 Gauge corrugated Iron Sheet size 3000x900mm - 14Pcs, Roofing Nails- 4kgs, Aldrin Solutions 1 litre/ tin - I tins, Manila rope for setting out 100m - 1 roller, Bitumen paint 4ltrs - 2 tins, Roller brush - 2pcs, Brush 3" - 2pcs, Solvents 1ltr - 1tin,Higloss paint 4ltrs( ascot grey) - 2tins, Primer paint 10ltrs - 1 bucket, Washable paint 10 ltrs( Cream) - 1 bucket, Weather guard paint 10ltrs (ascot grey) - 1 bucket, Sadolin or Joturn brands as specified/ wall puty 25kg per bags- 10bgs ,sandpaper grit no 80( msasa)- 3LM, Sandpaper grit 120 (msasa) - 1/2 Roller. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)

View SBD documents →

This tender is no longer accepting bids.

Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.