Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)
NeST-EM.16320/2025/2026/NC/06-S001 · TARANI PRIMARY SCHOOL
Ujenzi. umalizia katika vyumba 3 vya madarasa na matundu 6 ya choo. kuweka tiles kwenye matundu 6, (kufanya skimming choo na kupaka rangi ndani), kujengea na kufunika mashimo mawili, kujengea chemba 3, kuweka mifumo wa maji awamu ya 2 na ya 3, kujengea mnara wa maji futi 6.5. kupaka rangi msingi wa choo na kufanya wiring na kufunga umeme vyumba vitatu vya madarasa, kufanya marekebisho ya Kobra za madirisha ya vyumba 3 vya madarasa zilizojengwa vibaya, kufanya usafi kwenye vigae na skirting ndani ya vyumba vya madarasa. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.