Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)
NeST-EM.369/2025/2026/NC/02-S001 · IKUNGI PRIMARY SCHOOL
1. Kuvunja kuta na kutoa paa 2.Kuvunja sakafu ya zamani kwenye bwalo 3.Kuunganisha jengo la kupikia 4.Kumalizia choo na bafu 5. Kujenga shimo la maji ya jikoni 6.Kuweka miundombinu ya maji 7.Kuweka vitae sakafuni na ukutani kwenye jiko 8.Kupiga rangi 9.Kufunga mfumo wa umeme 10.Kufitisha madirisha madirisha na milango 11.Kupaua jiko 12.Kuweka sakafu kwenye bwalo 13.Kurekebisha milango ya bwalo. Angalizo (Fundi awe na uzoefu wa kazi zinazofanana si chini ya kazi 5, awe na idadi ya mafundi wasiopungua 10, awe anajua kusoma ramani kwa ufasaha, awe na ujuzi wa kujenga bwalo, awe na mtaji usiopungua Milioni kumi (10)) — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.