Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)
NeST-EM.14848/2025/2026/NC/02-S005 · NYAMRANDIRIRA PRIMARY SCHOOL
TUNAHITAJI FUNDI WA KUFANYA KAZI UJENZI WA MATUNDU 3,Ke na 3 Me KWA WANAFUNZI JINSIA YA KE NA ME CHOO CHA SHIMO (DRY AREA) KATIKA SHULE YA MSINGI NYAMRANDIRIRA ILIYOPO KATIKA KIJIJI CHA SEKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA DC,AMBAPO FUNDI ATAFANYA KAZI ZA UJENZI WA MSINGI,MAREKEBISHO YA SHIMO LILILOCHIMBWA KWA NGUVU ZA WANANCHI ILI KUFUATA MCHORO WA UJENZI WA BOMA,UEZEKAJI KUJENGA KITAKO CHA TANK KWENYE KILA CHOO AMBAPO ATAPANDISHA TENK NA KUFUNGA MFUMO WA KUVUNA MAJI SAFI, UPACHIKAJI WA GRILI ZA MILANGO VYOONI ,KUPIGA RIPU NJE NA NDANI,RAÑGI NJE NA NDANI YA CHOO HICHO,KAZI HII ITAFANYIKA KWA MUDA WA SIKU ZISIZOZIDI 30 TU.KARIBUNI SANA. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.