TanzaniaClosedNeST OCDSservicesNot disclosed

Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)

NeST-1202113/2025/2026/NC/01-S002 · UTENGULE USONGW WARD

Deadline: 29 May 2026Bid opening: Bid security: 2%Validity: 90d + 30d eval

Ukarabati wa miundombinu na ujenzi wa mfereji katika machinjio ya Utengule. Fundi anashauriwa kufika eneo husika ili kuona kazi. Kazi zinazotarajiwa kufanyika ni kama ifuatavyo; (1)UKARABATI WA LAIRAGE; Utakaohusisha Upangaji mawe ya hardcoreeneo la LAIRAGE, kumwaga zege la jamvi (oversite concrete 100mm) eneo la jamvi, kumwagilia maji zege kwa siku 7, kuchomelea mabimba ya nchi 3" na 2" kuzunguka eneo la LAIRAGE na kupaka red oxide, na kutindua sakafu sehemu ya kuchijia kumwaga zege na kufanya finishing. (2) UJENZI WA MTARO NA KUFUNIKA, ambayo itahusisha kuchimba MITA 130 za mtaro, kufanya trimming kwenye mtaro wa MITA 130 pamoja na kuweka formwork na BRC, Kumwaga zege katika mtaro wa mita 130, kumwagilia maji zege kwa siku Saba na kutengeneza na kupachika mifuniko ya kufunika mtaro wa mita 130. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)

View SBD documents →

This tender is no longer accepting bids.

Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.