TanzaniaClosedNeST OCDSservicesNot disclosed

Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)

NeST-S.5943/2025/2026/NC/02-S001 · KIUTU SECONDARY SCHOOL .

Deadline: 15 Jun 2026Bid opening: Bid security: 2%Validity: 90d + 30d eval

Ujenzi wa Madarasa manne na vyoo MATUNDU manne kwa mfumo wa ghorofa(First Floor)-VISIT SITE. SIFA ZA FUNDI (1) Fundi awe na uzoefu wa kujenga Majengo kwa mfumo wa ghorofa kwa miaka mitano mfululizo ya hivi karibuni(Aambatanishe mikataba ya Kazi zaidi ya mitano ya shule alizojenga kwa mfumo wa ghorofa na awe amepewa vyeti vya kukamilisha kazi hizo kwa Ubora), (2) Awe amepita chuo chochote cha ufundi ujenzi na Aambatanishe vyeti, (3) Awe na uwezo wa kifedha wa kukamilisha kazi ndipo alipwe (miezi 3 na zaidi), (4) Awepo eneo la ujenzi (site) wakati wote wa ujenzi — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)

View SBD documents →

This tender is no longer accepting bids.

Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.