Supply of comprehensive building materials for all construction stages (foundation, structure, finishing and installation)
NeST-EM.7280/2025/2026/G/17-S003 · NYANGALAMILA PRIMARY SCHOOL
Dawa la wanafunzi litengenezwe na mbao ngumu, lipakwe rangi na vanishi.Ukubwa wa jumla ni urefu wa 1100mm na urefu wa usiozidi 740mm linaundwa na fremu ya mbao ngumu ya vipimo 50mmx75mm Kwa reli ya chini ya mlalo na fremu ya wima ya vipimo 25mmx25mm pande zote 2,kiti kina unene wa 20mm,ukubwa wa 225x1100mm,kimekamilishwa vizuri na kupakwa vanishi. kimewekwa 410mm kutoka kwenye reli ya chini.Juu ya dawati Lina ukubwa wa 331mmx1100mm na linajumuisha reli ya katikati yenye vipimo 20mmx331mmx1100mm.Dawati lina mbao ya mbele yenye unene wa 20mm na urefu wa 1100mm,na kimo Cha 250mm. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.