Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)
NeST-1201282/2025/2026/NC/01-S001 · MKOLA WARD
ofisi ya mtendaji kata ya mkola wilaya ya chunya, inatangaza kazi ya umaliziaji wa jengo la ofisi ya kata kwa kazi zifuatazo , kuweka zege , kufitisha fremu za milango , kufitisha grill za madirisha, kuweka marumaru jengo zima , kuweka marumaru za kwenye vyoo na ukuta wa choo, kuweka masiki ya vyoo 4, kuweka mfumo wa maji kwenye vyoo 4, kuweka mfumo wa umeme (kuweka conduit na kusuka waya, kuweka taa na kuchimbia main switch) , kupinga plaster nje na ndani ya jengo , kupinga minart derkor nje ya jengo, kuskimu ndani ya jengo na Dali , kupinga mbao za Dali na kufunga gypsum board , kujenga shimo 1 la choo kwa mawe na kugunika , kuweka fical board , kufunga PVC , kupaka rangi ndani ya jengo na nje , kupaka rangi kwenye fical board na msingi wa jengo , kuchapia msingi wa jengo, kujenga ngazi , kupanga hardcore na kupinga zenge , kuchapia nguzo za kenopu, kupinga koplo za madirisha na milango , kujenga chemba za vyoo , kuweka masiki ya kunawia mikono , — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.