Supply of comprehensive building materials for all construction stages (foundation, structure, finishing and installation)
NeST-EM.1262/2025/2026/G/05-S001 · MABILIONI PRIMARY SCHOOL
Dawati-litengenezwe dawati la mwanafunzi kwa kutumia mbao ngumu na kumaliziwa vema kwa msasa na kupakwa varnish mara tatu lenye urefu wa 1200mm na lisilozidi kimo Cha 740mm ambalo Lina fremu ya mbao ngumu kwenye reli mlalo za chini zenye kipimo Cha 50mmx75mm . liwe na fremu za wima za kushikilia mbao za chuma chenye squire pipe yenye kipimo Cha 25mmx25mm itakayomaliziwa maliziwa Kwa kupaka kuzuia kutu red oxide na rangi ya mafuta ya mwisho pande zote mbili.kitako kiwe na unene wa 20mm na kipimo Cha 225mm x1200mm ikiwa imemaliziwa vema kwa msasa na varnish itakayowekwa kimo Cha 410mm kutoka reli ya chini .topu ya juu iwe na kipimo Cha 325mmx1200mm ikiwa na reli ya katikati yenye kipimo Cha 20mmx325mm pamoja na kizuizi Cha mbele chenye unene wa 20mm urefu wa 1200mm na kimo Cha 250mn kilichomaliziwa kwa maelezo sawa na pamoja na viungo vyote muhimu kama inavyoonekana kwenye mchoro — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.