TanzaniaClosedNeST OCDSservicesNot disclosed

Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)

NeST-EM.379/2026/2027/NC/03-S001 · KIPUMBWI PRIMARY SCHOOL

Deadline: 27 Jul 2026Bid opening: —Bid security: 2%Validity: 90d + 30d eval

UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA NA OFISI KATIKATI (block no 1). Mradi wa shule mpya ya sekondari kata ya Kipumbwi Halmashauri ya wilaya Pangani Mkoa wa Tanga. MSINGI WA JENGO(SUB- STRUCTURE): Kuondoa udongo wa juu wenye mbolea kwa kina kisichopungua 150mm,kuseti jengo,kuchimba msingi,kufukia msingi baada ya kujengwa,kujenga ngazi na ngazi mtelezo(Ramp) kadri utakapopewa maelezo na msimamizi wa mradi. KUFUNGA MBAO:Pembezoni mwa jamvi na kuziondoa. KUMWAGA ZEGE:Chini kwenye msingi(Blinding), kwenye jamvi,kusuka nondo za Plinth beam,kumwagilia maji. UJENZI WA MSINGI:Kujenga msingi kwa tofari,kufukia kifusi/mchanga na kushindilia ili kupokea mawe,upangaji wa mawe na utandazaji wa DPM na BRC,Kumwagilia maji. KUNYANYUA JENGO(SUPER STRUCTURE):Kutandaza karatasi ya kuzuia unyevu (DPC),kujenga ukuta wa matofali kabla na baada ya linta kwa saruji na mchanga. NGUZO MLAO(RING BEAM):Kufunga mbao na kuondoa,kusuka nondo za ring beam,kumwaga zege la ring beam,umwagiliaji wa maji. KUEZEKA(ROOF STRUCTURE&COVERING):Kupaua na kuezeka,kupiga mbao za fiscial board. MILANGO:Kufitisha fremu na shata za milango pamoja na vitasa pamoja na kupaka vanishi milango na fremu. UMALIZIAJI(FINISHING)DARI:ufungaji wa mbao za dari(brandering),uwekaji wa dari (Gypsum board) na mikanda ya Gypsum. RIPU:Kupiga ripu ndani na nje ya jengo,kutengeneza mbao za kufundishia,kunyoosha koplo za madirisha. SAKAFU:Uwekaji wa sakafu ya chipping/marumaru. RANGI NA MAPAMBO(PAINTING&DECORATION):Kuskimu na kupaka rangi mikono mitatu katika kuta za nje kwenye baraza,kuta za ndani,dari,ukuta wa msingi,kupiga puchi pande tatu za kuta za nje. UMEME:Uwekaji wa conduit pipe na box,usukaji wa umeme(wiring),kufanya kazi ndogo ndogo zitakazojitokeza wakati wa ujenzi. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)

View SBD documents →

This tender is no longer accepting bids.

Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.