Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)
NeST-100334101/2026/2027/NC/01-S001 · BURUMA VILLAGE
1.KUNYANYUA JENGO(a) Ujenzi wa msingi kwa blocks (b)Kupanga mawe,kumwaga jamvi 2.KUNYANYUA JENGO(a)Ujenzi wa kuta kwa tofali za block na uwekaji wa DPC (b)Kusuka nondo na kumimina bomu 3.KUEZEKA (a) Kupiga Kenchi na kuzeeka 4.UMALIAZIAJI(Upigaji wa lipu pamoja na kutengeneza koplo)(a)Nje na ndani ya jengo (b)Uwekaji wa vigae pamoja na grauti katika sakafu na ukuta (c) Kujenga upenyo 5.RANGI NA MAPAMBO(Kupaka rangi mikono mitatu pamoja na skiming katika:(a)Kuta za nje na ndani 6.MIFUMO YA MAJI SAFI NA TAKA(a)Ufungaji wa bomba awamu ya kwanza na kuchimbia bomba(b) Ufungaji bomba awamu ya pili (c) Ujenzi wa manhole chemba(d) Kuunganisha maji na kutoa nje kwenye mashimo. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.