Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)
NeST-EM.18994/2026/2027/NC/04-S002 · MUUNGANO PRIMARY SCHOOL
UJENZI WA MAJENGO YA SHULE NA KAZI ZA KIRAIA ZINAZOHUSIANA A. MAANDALIZI YA ENEO 1. Kuhamisha vifaa, mitambo na wafanyakazi eneo la mradi (Mobilization). 2. Kusafisha eneo la ujenzi. 3. Upimaji na uwekaji wa alama za ujenzi. 4. Ujenzi wa ofisi ya muda ya mkandarasi. 5. Uzio wa muda na mabango ya mradi. 6. Huduma za muda za maji na umeme. 7. Ulinzi wa eneo la mradi. B. UJENZI WA JENGO LA VYOO (Matundu 10) 1. Kuchimba msingi. 2. Kuchimba mashimo ya Septic Tank. 3. Kuchimba mashimo ya Soak Pit. 4. Kumwaga zege la usafi (Blinding Concrete). 5. Kujenga msingi. 6. Kujaza kifusi na kukandamiza. 7. Kumwaga sakafu ya zege. 8. Kujenga kuta. 9. Kujenga nguzo na Ring Beam. 10. Kujenga paa. 11. Kufunga mabati. 12. Kufunga gutters na downpipes. 13. Kupiga plasta ndani na nje. 14. Kuweka vigae sakafuni. 15. Kuweka vigae ukutani. 16. Kufunga dari. 17. Kufunga milango. 18. Kufunga madirisha. 19. Kupaka rangi. 20. Kufunga mfumo wa maji. 21. Kufunga mfumo wa maji taka. 22. Kufunga vifaa vya vyoo (WC, sinki, bomba n.k.). 23. Kufunga mfumo wa umeme. C. UJENZI WA OFISI YA WALIMU 1. Kuchimba msingi. 2. Kumwaga zege la usafi. 3. Kujenga msingi. 4. Kujaza kifusi na kukandamiza. 5. Kumwaga sakafu ya zege. 6. Kujenga kuta. 7. Kujenga nguzo na Ring Beam. 8. Kujenga paa. 9. Kufunga mabati. 10. Kufunga dari. 11. Kupiga plasta. 12. Kuweka vigae. 13. Kufunga milango. 14. Kufunga madirisha. 15. Kupaka rangi. 16. Kufunga mfumo wa umeme. 17. Kufunga mfumo wa maji. 18. Kujenga veranda. 19. Kujenga Ramp ya walemavu. D. UJENZI WA JENGO LA UTAWALA 1. Kuchimba msingi. 2. Kumwaga zege la usafi. 3. Kujenga msingi. 4. Kujaza kifusi na kukandamiza. 5. Kumwaga sakafu ya zege. 6. Kujenga kuta. 7. Kujenga nguzo na Ring Beam. 8. Kujenga paa. 9. Kufunga mabati. 10. Kufunga dari. 11. Kupiga plasta. 12. Kuweka vigae. 13. Kufunga milango. 14. Kufunga madirisha. 15. Kupaka rangi. 16. Kufunga mfumo wa umeme. 17. Kufunga mfumo wa maji. E. UJENZI WA MAKTABA (LIBRARY) 1. Kuchimba msingi. 2. Kumwaga zege la usafi. 3. Kujenga msingi. 4. Kujaza kifusi na kukandamiza. 5. Kumwaga sakafu ya zege. 6. Kujenga kuta. 7. Kujenga nguzo na Ring Beam. 8. Kujenga paa. 9. Kufunga mabati. 10. Kufunga dari. 11. Kupiga plasta. 12. Kuweka vigae. 13. Kufunga milango. 14. Kufunga madirisha. 15. Kupaka rangi. 16. Kufunga mfumo wa umeme. F. UJENZI WA DARASA LA TEHAMA 1. Kuchimba msingi. 2. Kumwaga zege la usafi. 3. Kujenga msingi. 4. Kujaza kifusi na kukandamiza. 5. Kumwaga sakafu ya zege. 6. Kujenga kuta. 7. Kujenga nguzo na Ring Beam. 8. Kujenga paa. 9. Kufunga mabati. 10. Kufunga dari. 11. Kupiga plasta. 12. Kuweka vigae. 13. Kufunga milango. 14. Kufunga madirisha. 15. Kupaka rangi. 16. Kufunga mfumo wa umeme. 17. Kufunga soketi za kompyuta na data points. G. UJENZI WA MADARASA NANE (8) 1. Kuchimba msingi. 2. Kumwaga zege la usafi. 3. Kujenga msingi. 4. Kujaza kifusi na kukandamiza. 5. Kumwaga sakafu ya zege. 6. Kujenga kuta. 7. Kujenga nguzo na Ring Beam. 8. Kujenga paa. 9. Kufunga mabati. 10. Kufunga dari. 11. Kupiga plasta ndani na nje. 12. Kuweka vigae au finishing ya sakafu. 13. Kufunga milango. 14. Kufunga madirisha. 15. Kupaka rangi. 16. Kufunga mfumo wa umeme. H. KAZI ZA NJE 1. Ujenzi wa njia za kutembea (Walkways). 2. Ujenzi wa mifereji ya kupitisha maji ya mvua. 3. Kusawazisha eneo la mradi. 4. Landscaping ya eneo la mradi. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)
View SBD documents →This tender is no longer accepting bids.
Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.