TanzaniaClosedNeST OCDSservicesNot disclosed

Provision of cleaning services

NeST-10533602/2026/2027/NC/04-S001 · MPANDA MUNICIPAL HOSPITAL

Deadline: 30 Jul 2026Bid opening: —Bid security: 2%Validity: 90d + 30d eval

1. Huduma ya Usafi wa Majengo ya Hospital ya Manispaa ya Mpanda kwa mwaka 2026/2027. 2. huduma hii itatolewa kwa Mzabuni husika 3. Kufanya Usafi wa Majengo yote ya Hospitali ndani na nje mara mbili kwa siku 4. Kuhakikisha kolido zote zinapigwa deki asubuhi na mchana kabla ya kuondoka. 5. Kuhakikisha vifaa vya usafi vinapatikana kwa wakati bila changamoto yoyote. 6 Kuhakikisha watumishi 16 wa usafi wanakuja kazini wote na kusaini daftari la mahudhurio asubuhi na muda wa kuondoka. 7. kuhakikisha usafi unafanyika wa kutupa taka zilizopo katika dustbin zote ndani na nje ya wodi zote na kuhakikisha zinasafishwa na kuwekwa Binliner mara baada ya kutupa taka na kurudisha sehemu sahihi. 8. Kutatua changamoto zote za watumishi wako wa usafi pale inapojitokeza 9. Kuhakikisha ofisi zote, vyoo vyote vinafanyiwa usafi mara mbili kila siku — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)

View SBD documents →

This tender is no longer accepting bids.

Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.