TanzaniaClosedNeST OCDSservicesNot disclosed

Provision of labour for general construction services (masonry, carpentry, roofing, electrical, plumbing, interior and exterior finishing)

NeST-EM.379/2026/2027/NC/08-S002 · KIPUMBWI PRIMARY SCHOOL

Deadline: 29 Jul 2026Bid opening: —Bid security: 2%Validity: 90d + 30d eval

UJENZI WA JENGO LA MAABARA YA KEMIA NA BIOLOJIA katika shule mpya ya sekondari kata ya Kipumbwi. KAZI ZA AWALI:Kuondoa udongo wa juu wenye mbolea kwa kina kisichopungua 150mm,kuchimba msingi wa kina cha 1000mm,kumimina zege la blinding la uwiano wa 1:3:6-saruji:mchanga:kokoto kwa unene wa 150mm. UJENZI WA KUTA ZA MSINGI:Kujenga msingi kwa mawe na kumalizia kwa tofali laini zisizopungua mbili,kumwagia maji ukuta wa msingi kwa siku saba mfululizo asububi na jioni,kuwwka na kushindilia kifusi/morum kwwnye jengo,kupanga mawe kwwnye jengo na kumwaga mchanga wa blinding juu ya mawe,kumwaga dawa ya kuzuia mchwa na wadudu wengineo,kutandaza karatasi za kuzuia unyevu kupanda kwwnye sakafu(DPM) na kuweka BRC. ZEGE LA MKANDA WA MSINGI(PLINTH BEAM 230X300)(1:2:4) NA JAMVI:Kusuka nondo za 16mm za nguzo,kusuka nondo za 12mm kwa ajili ya ground beam,kusuka mbao za formwork ya ground beam na column,kumimina zege la ground beam,kumwagilia maji kwa muda wa siku saba mfululizo asubuhi na jion. UJENZI WA BOMA(SUPERSTRUCTURE)UJENZI WA KUTA:Kutandaza karatasi ya kuzuia unyevu DPC,Kujenga ukuta wa matofali kabla na baada ya linta kwa saruji na mchanga,kumwaga maji ukuta wa matofali na linta kwa siku saba mfululizo asubuhi na jioni. RING BEAM(1:2:4):Kusuka mbao za formwork ya ring beam na column. KUEZEKA NA KUPAUA:Kusuka kenchi za paa kwa kufuata vipimo kwenye ramani,kugongea mbao za fiscial board kuzunguka jengo na kufunga waya za kenchi,kufunika paa kwa mabati,DARI(CEILING):Kusuka mbao za dari(brandering),kuweka Gypsum board na mikanda. MILANGO NA MADIRISHA:Kupachika frem za milango na kuwwka vent za vioo/nondo,kuweka shutter za milango pamoja na viungo vyake vyote(vitasa na pushing plate),kupiga msasa na vanish,kupachika na kupaka rangi grill za milango,kupachika grill za madirisha,kunyoosha koplo. UMALIZIAJI SAKAFU NA MEZA ZA TOFALI KWA ZEGE:Kujenga sakafu ya terazo,kujenga meza kwa tofali,kutengeneza formwork za mbao kwa ajili ya umwagaji wa zege la sehemu ya juu ya meza,kumwaga zege la sehem ya juu ya meza,kujenga na kuweka marumaru(tiles)juu ya meza. PLASTA:Kupiga ripu (plaster)ndani na njee,kumwagia maji siku saba mfululizo asubuhi na jioni. NGAZI NA NGAZI MTELEZO:Kujenga ngazi mtelezo(ramp)tatu, RANGI:Kuskimu na kupiga rangi mikono mitatu kwenye kuta za ndani na njee,kupiga rangi nyeusi kwenye ukuta wa msingi. MFUMO WA UMEME:Kuweka mfumo wa umeme awamu ya kwanza (kuchimbia bomba na box ukutani),kuweka mfumo wa umeme awamu ya pili(kusuka waya na kuweka vifaa vya umeme). MFUMO WA MAJI SAFI NA TAKA:Kuchimba shimo moja la maji taka,kujenga shimo la maji taka,kuweka mfumo wa maji safi awamu ya kwanza,kuweka mfumo wa maji safi awamu ya pili,kuweka mfumo wa maji taka ndani na njee ya jengo, KUWEKA MFUMO WA GESI:Kuweka mfumo wa gesi kuanzia kwenye chemba ya gesi mpaka ndani ya jengo,kufanya kazi ndogo ndogo zitakazojitokeza wakati wa ujenzi. — National Shopping -Lower Level (Mini Competition Quotation)

View SBD documents →

This tender is no longer accepting bids.

Its submission deadline has passed. Browse open tenders for live opportunities.